Waefeso 3:20-21 Utukufu ni wake yeye, ambaye ana uwezo wa kutenda zaidi ya yale tunayoyaomba na kuyawazia, kwa kadiri ya nguvu yake inayofanya kazi ndani yetu. Utukufu ni wake katika kanisa na katika Kristo Yesu kwa vizazi vyote, milele na milele. Amina.

Video

Patrick Kubuya – Nitawaambia (Live Music Video)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *